HAKUNA TENA UCHAGUZI KENYA
Mgombea Urais kupitia muunganiko wa vyama vya upinzani nchini Kenya,
Raila Amolo Odinga, amejiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho, baada ya
viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya IEBC, kukataa kuachia madaraka.
Taarifa
hiyo ya kujiuzulu kwake imetolewa leo na yeye mwenyewe kwenye mkutano
na vyombo vya habari, na kusema kwamba chama cha Jubilee ambacho Uhuru
Kenyatta anagombea, kinataka kufanya uchaguzi ambao utawapelekea
ushindi.
Endelea kubaki nasi kwa taarifa zaidi.
Post a Comment